Hahahaha.... FYI hapa anayeandika hii posti ni Mhandisi wa Mitambo... kwa kiinglishi ni Mechanical Engineer. Haya ukuje pande hii nikupigie mahesabu ya kukuhundumula kwa mdondoko wa Projectile Motion.
siku nyingine usikurupuke kama huna ushauri kwa mtu mwenye tatizo. hapa hakuna vigezo vya muda kupata ushauri.Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1
Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?
Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
Lazima umkague kabla ya kumuoa kama matarajio yako ni kuoa,chunga sana unaweza kuoa mgumba kwani haujui maisha yake ya nyuma yalikuwaje au unaweza kuoa mwanamke asiye na maumbile ya kike(Vagina) au she-male au hana kizazi alishatoa mimba na kizazi chake siyo jambo dogo hili limeshawahi kumtokea mchungaji mmoja wa Marogoro tena wa kanisa la kilokole yamebaki majuto kwake.Wazee wa kanisa walimsaidia tu huyo mchungaji kwa namna wanayojua wao lakini siyo kwa mujibu wa maadili ya dini yake.nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
kwani uongo eti kaka yangu cartura? hawa si huwaga wanajua kabisa kwamba pozi hili rate of friction itakuwa kubwa, hapa nimebakiza sekunde kazaa so nikiachia shuti lazima litakwenda concurrent nk. miye nawadmire sana wahandisi manake wamenioa.
:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
kaka kumbe na wewe ni mmoja wapo?
Wa nini?
wawasioikubali point yangu? manake umepaa kwa spid ya light.
mmmh ngoja nicheck kanuni za jf zinasemaje i will be back with constructive chickencodioccisfowlpox criticism
makubwa nini nina mpenzi wangu siku ya kwanza nilipo mtongoza kesho kutwa yake nikajilia mzigo taratibu yani kwangu kwake kwangu kwake na alilijipimia mwenyewa sas nini miaka 7 kwenye mahusiahano yetu tunapendana vya kutosha ,,,,,,akikata usili mzigo temana naye isije mishapa yako ya kupitisha mbegu za kiume ikaziba bure mtoto wa watu
nawsilisha kutoka muhimbili
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
nina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.
Join Date : 24th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received1
Likes Given1
Umeingia JF jana kwa ajili ya kuuliza taka taka hiyo?
Mod ondoa ushenzi wa huyo ndugu hewani.....Shame on U.
huyo mpenz wako ana mtu mwingne anayeduu naye ndo maana hakutak wewenina mpenzi wangu tuna muda wa mwaka mmoja toka tuanze mahusiano ,kila nikimuomba tufanye sex anakataa anadai bado mapema na tuanze kusex mwakani na anaongeza kuwa nitamchoka mapema na hicho ni kicho ndicho kitakuwa kipimo cha kuonesha kweli nampenda nikivumilia ilo, naombeni ushauri kweli huyu ananipenda au ananidanganya tu.