Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Utaulizwa masuala kama why did you open the door na unajua uko peke yako? Why does he even know your address kama hukumpa? Na shutuma nyingi kama inasababishwa na the way you dress up, the way you conduct yourself in front of him
Na hofu ya kusema inazidi hasa ikiwa mbakaji ni mtu unaemjua
Na pia uwe tayari kabisa kuharibu uhusiano wako na huyo bwana ( mume/boyfriend) kwa maana kila mara atakumbushia hilo tukio. Pia kila mara yeye atabaki na hiyo taswira ya wewe ukiwa kwenye kitendo na huyo mtu kila mnapokuwa faragha!......Hivi wanaume "wanaobakwa" nao inakuwa vipi? je wanawahadithia wanawake zao?
Hili suala ni tete, inategemea mazingira kwa kweli. Kama bila ya kumuambia unaona unaweza kuendelea kuishi, wengi wana opt kwenye hiyo lakini wakati mwengine labda imekuathiri sana kiasi cha kuwa hutaki ukaribiwe na mwanamme kwa muda na bwana ndo yupo utafanyaje?
Nadhani kabla ya masuala ya Mwanakijiji kujibiwa, kuna haja ya watu kufahamishwa emotions anazopata mtu aliyebakwa na reactions anazoweza kuchukuwa, ili mwanamme ajue ana deal nae vipi iwapo litatokea. Ukosefu wa elimu kuhusu suala hili ndio unafanya wanwake wazidi kuumia kwa kuto hadithia.
Hili swali lina implications nyingi sana; vipi kwamba baada ya kubakwa mama anapata ujauzito? - wapo watu mashuhuri ambao walizaliwa kutokana na rape! vipi kama katika kubakwa akapata kilema au kuambukizwa?
Yaweza kuwa ni mpenzi wako au mke wako au mama wa watoto wako; linatokea tukio ambapo anabakwa (ujambazi, kuvamiwa, kutegeshwa n.k). Na anakuja na machozi na kukulia na kusema tukio hilo na ni kweli vipimo vya hospitali vinaonesha katendewa jambo hilo.
a. Unafanya nini?
b. Unamuamini?
c. Utamsaidia kupita kwenye tukio hilo?
d. Utaendelea kuwa naye.
Je kama wewe ndio mwanamke na tukio hilo limekutokea na unawezekano wa kulificha kwa mwenza wako je utaficha hutamwambia? Ukiamua kumwambia unatarajia nini?
Hili swali lina implications nyingi sana; vipi kwamba baada ya kubakwa mama anapata ujauzito? - wapo watu mashuhuri ambao walizaliwa kutokana na rape! vipi kama katika kubakwa akapata kilema au kuambukizwa?
KWELI unavyosema...kitu wanaume hawaangalii ni swala zima la namna wanawake na wanaume walivyo tofauti katika kuchakatua maingiliano ya kingono. Kubakwa ni ukatili mbaya kuliko wanavyofikiria.Hakuna mwanamke anapenda kubakwa hata na mume au mpenzi tofauti na wanaume wanavyodhania. Kwa mtu mgeni kabisa ndio usiseme! Wanaume tafadhalini jaribuni kuelewa kuwa rape siyo sex bali ni udhalilishaji, ni ukatili, ni kiashirio cha "power"! Siogopi kusema kuwa endapo mpenzi wangu atabakwa sitamnyanyapaa bali nitamuonea huruma na kumfichia aibu.Sitamkumbushia wala kumlaumu.
Hili swali lina implications nyingi sana; vipi kwamba baada ya kubakwa mama anapata ujauzito? - wapo watu mashuhuri ambao walizaliwa kutokana na rape! vipi kama katika kubakwa akapata kilema au kuambukizwa?
kubakwa na fumanizi la live lina tofauti?Yaweza kuwa ni mpenzi wako au mke wako au mama wa watoto wako; linatokea tukio ambapo anabakwa (ujambazi, kuvamiwa, kutegeshwa n.k). Na anakuja na machozi na kukulia na kusema tukio hilo na ni kweli vipimo vya hospitali vinaonesha katendewa jambo hilo.
a. Unafanya nini?
b. Unamuamini?
c. Utamsaidia kupita kwenye tukio hilo?
d. Utaendelea kuwa naye.
Je kama wewe ndio mwanamke na tukio hilo limekutokea na unawezekano wa kulificha kwa mwenza wako je utaficha hutamwambia? Ukiamua kumwambia unatarajia nini?
Sio rahisi kujiweka kwenye viatu vya uhanga wa ubakaji. Na inaonyesha kumpigia mtu umpendae ukishabakwa si rahisi na takwimu huonyesha kuwa wanaobakwa hawafanyi hivyo, hata kumwambia mama yako inakuwa tabu licha ya kuwa wengi wanaamini kuwa hakuna awapendae kama mama zao.
kubakwa na fumanizi la live lina tofauti?
sasa mwanaume akimfumania mkewe inakuwa ni rahisi kumsamehe kuliko akiwa amebakwa kwa nini? maana effect ni kwa mwanamke na sio kwa mwanaume au?ooh bebii, ur innocent mind. usikimbilie kuolewa,saw? kubakwa (rape) ni kufanywa tendo la ndoa bila ridhaa yako. kufumaniwa nadhani ni kukutwa na mwenza wako ukifanya mapenzi kwa hiari na mtu mwingine, ama asiye halali
Nawaelewa Tausi na Gai,
Ila naomba mfahamu kwamba confidence ya mtu kwa mwenzi wake haijengwi wakati wa matatizo na misiba tu, bali hujengwa wakati wote. Kama huwezi kumuamini mwenzi wako kwa kauli na matendo ya kawaida, basi kwenye mambo makubwa kama haya ndiyo hali itakuwa mbaya.
Kwa sababu hiyo, reactions na hatua zinazoweza kuchukuliwa baada ya rape zitategemea mahusiano ya wahusika kwa muda mrefu walioishi pamoja na siyo ya kuamua baada ya tukio!
Nitajibu kama ningekuwa mwanaume! (woman sensitive answer)
Kama mke kapata mimba tutajadiliana kuhusu kuterminate hiyo pregnancy (kama mwanamke ningekubali)
Kama kapata kilema sijui ni kilema gani wamaanisha; anatibiwa na tunaishi na matokeo.
Na kama kapata maambukizi, say deadly HIV; nitajadiliana naye kuhusu safe sex au kama ni risk, nitaongea naye kuhusu kuishi pamoja lakini kwa kutengana vyumba (bahati nzuri kina mama wengi wana huruma hivyo hatafurahia kuniambukiza ili tufe wote; nani atatunza watoto kama tunao). Then kuhusu mahitaji yangu ya unyumba in case hatujamiiani kabisa, naongea naye kuhusu kuoa mwanamke mwingine; but huyo mwanamke anapaswa kumrespect my first wife. (hii haijalishi nasali dini gani, coz naamini Mungu angeisapport).