Mpenzi Dodoma

yaan mitandao ya madanga ipo mingi na wamejaa apo dodoma unakuja kutafta Mpenzi JF πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Pale kichwa cha juu kinapozidiwa nguvu na kichwa cha chini. Hapo hata ufanyeje hakishauriki.
 
Fika Chang'ombe Utapata Chap Tena Utaoa Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…