Mpenzi endelea tu kununa, nimeamua kumsaidia dada yangu!

huyu dada kweli ni kiboko khaa!
alafu na zuzu la mwisho kabisa sijawai kuona mweh!
alishindwanini kujificha kaa mama yangu mdogo alivofanya mpaka akaolewa saivi kausambaratisha ukoo wetu wote yani maelewano hakuna tena ...ukoo wote unawaka moto
:focus:
mshukuru sana muumba wako e kijana kukuonesha mapema mana ungeenda kujuta na kama ww ni wale wa ndoa moja mpaka kufa basi ingekula kwako ila kama ww ni wale wa wanne basi wala usingepata tabu mana ungemtimua fasta
 

hiyo kiboko, baba mdogo mnakutana naye ofisini tu............................
ila hilo nalo ni baya sana, kusambaratisha ukoo wa mume! hivi ukipata tatizo ambalo utahitaji msaada kwa hiyo familia utafanyaje?
 
Mweleze jamaa yako amueleweshe kuwa mgonjwa ndie ayehitaji msaada zaidi huenda litamuingia kichwani maana kuna watu wana vichwa vigumu sana kuelewa issue simple kama hiyo!!
 
POLE; LAKINI SHTUKA!!! UJUE MUNGU WAKO NI MZURI NA ANAKUPENDA SANA NA ANATAKA UWE NA NDOA YENYE AMANI.



ngashtuka meku, machale kundesa..................... Duiterewe Ruwa adusaidie...... cha!!!!!!!!!!! Eti wife to be!!! lo!
 
hiyo kiboko, baba mdogo mnakutana naye ofisini tu............................
ila hilo nalo ni baya sana, kusambaratisha ukoo wa mume! hivi ukipata tatizo ambalo utahitaji msaada kwa hiyo familia utafanyaje?
yani kavurunda kila ishu hapa home khaa! hakuna maelewano
 
No body's perfect ajaribu kumuelewesha thn km ataendelea n Tabia yake bac achukue uamuzi wowote anaoona yeye unafaa
 
Dunga Embe hilooo, lipo kimaslahi zaidi.... mshauri ampige chini.
 

Ila jamani mwanamke akiamua kulianzisha tifu la kifamilia, huwa ahkuna anayebaki salama, mweeeeeeee!
 
mimi napenda tabia ya huyo dada kwani HAJAFICHA KUCHA kama wengine wafanyavyo. Hapo unatakiwa kuoa kwani inaonyesha hana tabia nyingine iliyojificha ambayo inaweza KULETA SHIDA baada ya NDOA. Tabia zingine zinaweza KUREKEBISHIKA TARATIBU CHA MSINGI INAJULIKANA. Huwezi kurekebisha tabia ambayo HAIJULIKANI, na suala la KUFICHA MAKUCHA NDO CHANZO CHA TALAKA NYINGI NA MIGOGORO MINGI KATIKA NDOA ZA MILENIA.

NAMSHAURI AOE!!!!
 

mbna kila mtu ndugu yangu,rafiki yangu, kwani ukisema wee ndo muhusika kuna mtu ankujua kwanza,au ndo utakua wa kwanza demu wako kuonyesha tabia ya namna hiyo.
 
Mkuu Ndyoko mi huwa nakuamini sana unajua.....!!!!!!!!!!!!!!
Hili mbona lilikuwa la kumaliza tu hukohuko..........mbona na wewe unaunda tume banaaaaa??????

Aaaaaagh you make sick brother.....mchakato....mkandarasi.....upembuzi yakinifuuuu.....
 
Mungu kakuepusha na tango pori! Chapa mwendo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…