Mpenzi gani kati ya hawa kama ungetakiwa kuoa/kuolewa??

Mpenzi gani kati ya hawa kama ungetakiwa kuoa/kuolewa??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nimpenzi gani uneweza kumfanya awe mpenzi wako kati ya hawa??
  • Dr.
  • Solder
  • Nurse
  • Taxi driver
  • Security
  • Police
  • Captain
  • Airhostes
  • Paparaz
Kati ya hawa niwale wasiokaa ndani kila siku wao niwatu wakuhudumia jamii!!
 
Hamna chaguo langu
Nakumbuka waalimu kuleeeeeeeeeee
 
Soldier.......wana maumbile mazuri sana hawa (men)
 
KakaKiiza bwana mi huwa unanifurahisha sana na mada zako. mi ningemuoa polisi ili vibaka wakinivamia anisaidie kuwakabili maana ana mbinu za kufanya hivyo. lakini....tatizo ni wakati anapoenda shift...
 
Nimpenzi gani uneweza kumfanya awe mpenzi wako kati ya hawa??
  • Dr.
  • Solder
  • Nurse
  • Taxi driver
  • Security
  • Police
  • Captain
  • Airhostes
  • Paparaz
Kati ya hawa niwale wasiokaa ndani kila siku wao niwatu wakuhudumia jamii!!

Kati ya hawa kuwa mkeo yafuatayo uyakubali
1. Dr ukubali muda wowote ule unaweza kupata dharura na kumkosa hata week nzima.
2.Solder tegemea kulala pekee yako usiku wote mara anapokuwa zamu za usiku na hapo ndipo utakaposaidiwa na masolder wenzie akiwa lindo.
3.Tax driver usitegemee kabisa kuwa nae nyumbani kwani siku kama za sikukuu ndio biashara zinachanganya.
4.Security si mbali sana na solder so tegemea kulala pekee yako.
5.Capt huyo nae tegemea kuwa nae siku moja moja.
6.Airhostes unatakiwa kuwa mvumilivu sana hasa pale unaposikia kuwa hali ya hewa imechange hivyo watalala sehemu fulani.
7.Papalaz tegemea mengi kutoka kwake hasa vikao vya kushtukiza.

NOTE:
Swala la mke au mme wa kuoa Muombe Mungu akupe chaguo lake!
 
ningeondoka na hako ka nurse, kanakuwa hakajali ma uchafu, na yale mambo yetu samtaimu hygien haizingatiwi kabisa.
 
Traffic,sina haja ya kufikiria pesa za matumizi home
 
mimi na prefer 1mbunge
2.hakimu
3.bussinesswoman
 
paparaz is kul 2 me! And mine is a paparaz.....I'm used 2 adhoc meetings especially in the news room!
 
mwanajeshi au polisi,tudundane vizuri!!!akiwa mtu mwingine nitamuonea...nimejazia kibaunsa baunsa hivi...:happy::happy:
 
Back
Top Bottom