Mpenzi hanihusishi mambo yake

Mpenzi hanihusishi mambo yake

Wachu macheke

Member
Joined
Oct 8, 2024
Posts
68
Reaction score
120
Juzi nimempigia simu aje tusherehekee pamoja mwaka mpya amegoma mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti, cha ajabu Leo anasema yupo kwenye basi nakuja najiuliza kwa nini aje ghafla au kuna kitu nyuma ya pazia
 
kifupi ana kumudu, na huna cha kufanya ndo kashapanda bus

kama mwanaume kweli na ww ondoka hapo unda safar yako ya uwongo ila kama huna uwezo huo mpokee ila jua ww n chaguo la 2 kama si la 3
 
Back
Top Bottom