Mpenzi huyu!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake nisaidieni wajuvi.
 
Labda alikuwa anataka kukukonyeza kwa ilo jicho la kimahaba!
 
Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake nisaidieni wajuvi.
Huenda alimaanisha tiGO thumni (a.k.a tiGO Express Yourself)....!
 
Sasa Kakiiza nawe yaani hadi mmeachana hukutaka kujua alimaanisha nini?
 
Nipe contacts zake mie huwa napenda mwanamke anipe "JICHO"...wewe si-hukutaka hiyo bidhaa...ni-pm niwe mteja wa hiyo bidhaa
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI NA PIA NATARAJIA USHIRIKIANO WAKO MKUBWA KATI OMBI LANGU...wako katika ujenzi wa penzi jipya kwa wala ma-jicho.
 
aaaaaah!hivi mlenda ndo ule unaotelezagaaaa eeeeeeeeh?????
haaaa hapana mlenda umekakamaa ivi km nyama ya fowili ya pale hunters....!!!!!nan kakuambia mlenda unatelezaa?kakudanganya uyo
 
Aliyeleta mada anajua analouliza, afu ameweka hii mada huku. duh
 
haaaa hapana mlenda umekakamaa ivi km nyama ya fowili ya pale hunters....!!!!!nan kakuambia mlenda unatelezaa?kakudanganya uyo

Rose leo si ulisema unataka samaki wa kupaka kwenye lunch yako??basi nistue nikusindikize ukiwa tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…