Ahahahahahaaaaah bado hajakupa tu hizo kontakti?Nipe contacts zake mie huwa napenda mwanamke anipe "JICHO"...wewe si-hukutaka hiyo bidhaa...ni-pm niwe mteja wa hiyo bidhaa
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI NA PIA NATARAJIA USHIRIKIANO WAKO MKUBWA KATI OMBI LANGU...wako katika ujenzi wa penzi jipya kwa wala ma-jicho.
Nilibahatika kuwa na mpenzi lakini alikuwa akiniambia neno hili untaka "JICHO"Mhmm nikamwuliza jicho mimi la nini?akacheka tukaendelea na raha zingine hadi tunaachana sijajua ninimaana yake nisaidieni wajuvi.
we speaker nadhan una hamu ya kugeuzwa waya.......ntake radh kabla sjaendeleaMwangalie rose nadhani alimaanisha hivo
God forbid that,bora hukujua na hukupewa na usitake kujua maana ni laana
we ungemuuliza anamaanisha nini sasa si tutajuaje?
Nipe contacts zake mie huwa napenda mwanamke anipe "JICHO"...wewe si-hukutaka hiyo bidhaa...ni-pm niwe mteja wa hiyo bidhaa
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU ZA DHATI NA PIA NATARAJIA USHIRIKIANO WAKO MKUBWA KATI OMBI LANGU...wako katika ujenzi wa penzi jipya kwa wala ma-jicho.
Unajua kama mtu huna kaenteresit na story wala haulizi hivyo sikuuliza baada ya kuniuliza unataka JICHO nikajua niutani anamanisha napenda macho yake basi end of the story kwa hiyo ilibidi nimuulize??