Watu mna mbwembwe.Tatizo hapa JeiEfu sidhani kama kuna watu wenye homa ya ulaya kiasi cha kukupapatikia...so subiri utue bongo alafu kila utakaekutana nae usisahau kumwambia umetoka ulaya na hukai sana...lazima utawakamata tu wenye njaa zao.
Hata airport atawadaka wale wanaopenda kuomba omba dollar 20....nilivyomuelewa "Muingereza wa Holland", hana muda huo. Yeye anataka akitua tu, mwenyeji wake ampokee waanze malavi davi. Baada ya wiki mbili, kila mtu anachukua hamsini zake. No Strings Attached.
Nadhani jamaa kadata hatamani hata kuonana na watu wa kwao.
Nakuja nyumbani Tanzania mara moja kutoka Holland mbako nasoma. Likizo yangu ni ya wiki 2, natafuta mtu mzima wa kula naye goodtime kwa kipindi nitakapokuwepo Bongo (DAR). Umri kuanzia 28-45 ili mradi tutaridhishana na ku enjoy kama watu wazima. Nina umri wa miaka 33. Basi kama vipi, nitumie INBOX ilimradi siyo mtu wa kutaka makuu, kwani sina makuu, ninachotaka ni kependana na kula goodtime ..
NAPENDA MTU MZIMA KWA SABABU MAPENZI YAO NI MATAMU MNO, na yatanifanya kujisikia niko Nyumbani.....MWANAMKE SIYO MWANAMME....... SIFANYI USHENZI HUO....NO MWANAMME