Mwanamke unayemchagua awe mwenza wako ana affect...🤨
Afya yako ya akili
.
Amani ya moyo na akili
Mafanikio yako
Mahusiano yako ya kiroho na Mwenyezi Mungu
.
Na effects zinadumu kwa kipindi chote cha maisha.
Hivyo mpenzi unaye settle nae ndio unastahili utakachopata.😌😌Hawa kataa ndoa hukwepa mmbo haya ama nini kingine kifanyike kuhakikisha unapata kinachokustahili maoni yako ni muhimu zaidi .