Ni kweli. Alikuwa ananituhumu 'kufanya kitu' ambacho mimi nilikuwa na uhakika 100% kuwa hakikuwepo/sikukifanya....so nilikuwa na 'confo' la kumwacha afanya analotaka. Nadhani alifanya uchunguzi akagundua kuwa 'kachemka' ikabidi arudi. Hata hivyo nilipitia kipindi kigumu sana.....it was the worst time of my marrige!
Imefika mahali mwanamke anasema "I'm leaving you" au "Naondoka" na anaweza hata kuanza kufunga virago na hata kukata tiketi. Je ina maana gani? Je mwanamme afanye nini? Je anatingisha kiberiti tu au ni hasira? Au mwanamme amwambie tu "nenda kwani nani kakukataza?". Hivi dada zetu wanaposema hivi huwa wanamaanisha kweli? Je mwanamme akionekana hajali kama ataondoka au la ni sahihi au ndio kutegeana...?
Mwache aende,,kama anazuga atabaki lakini kama anamaanisha kweli ataondoka!ANGALIZO:kumnyenyekea na kumbembeleza mwanamke kuna kiwango na mipaka yake.
ukiondoka bi mdogo anahamiakhaaa jamani mbona hii inanigusa sana,nimepata jibu maana na mimi nipo njiani kuondoka
Lakini kama ukimuacha akaondoka na kakuacha nyumba na watoto; utamfuata? Kuna ule wimbo wa zamani wa "najuta najuta umaarufu umeniponza"...
Hii ID imenikumbusha UteminiNimejifunza kitu hapa! Ngoja niendelee kurudi kila mara kwenye hii thread. Thanx MMJJ.
Mwanaume hupaswi kuchoka kubembeleza ndio kazi yenu haswaa. Unaweza sema anatikisa kiberiti kumbe ndo kimoja. Kama unampenda kweli kweli how much energy does it take kumbembeleza? Tena usibembeleze kwa sijuhi kumnumnulia kanga sijuhi nini; by words. Many of us women prefer maneno matamu kuliko zawadi. Maana kama ni mavazi naweza nunua mwenyewe nataka love. Those sweet words are more valuable than gold.