Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
MWanakijiji... this is sensitiveImefika mahali mwanamke anasema "I'm leaving you" au "Naondoka" na anaweza hata kuanza kufunga virago na hata kukata tiketi. Je ina maana gani? Je mwanamme afanye nini? Je anatingisha kiberiti tu au ni hasira? Au mwanamme amwambie tu "nenda kwani nani kakukataza?". Hivi dada zetu wanaposema hivi huwa wanamaanisha kweli? Je mwanamme akionekana hajali kama ataondoka au la ni sahihi au ndio kutegeana...?