mushkhan moshi
Member
- Oct 4, 2016
- 49
- 81
Pambana na hali/maisha yako....
Kiukwel huyu mwanamke hana maadili ya kitanzania kwa matendo kama hayo ya kifuska anayo yafanya
Yaani wanawake kama hao hatuwatak nchini kwetu maaana wanaongeza kuporomokq kwa maadili kwa vijana wetu[emoji41][emoji41]
TAFUTA CHA KUFANYA WACHA KUMFUATILIA MCHAPA KAZI
Kiukwel huyu mwanamke hana maadili ya kitanzania kwa matendo kama hayo ya kifuska anayo yafanya
Yaani wanawake kama hao hatuwatak nchini kwetu maaana wanaongeza kuporomokq kwa maadili kwa vijana wetu[emoji41][emoji41]
Mbona sijaona huo "uchafu"?
Kiukwel huyu mwanamke hana maadili ya kitanzania kwa matendo kama hayo ya kifuska anayo yafanya
Yaani wanawake kama hao hatuwatak nchini kwetu maaana wanaongeza kuporomokq kwa maadili kwa vijana wetu[emoji41][emoji41]
Ni MangeHuwataki nchini wewe na nani? Mwenyewe Diamond anamtaka, rafiki wa Diamond wanamtaka, ulimuuliza nani mwingine mkajikuta hamumtaki?