Mpenzi msiri..........

Shagiguku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
409
Reaction score
138
je,ukigundua mpenzi wako alizaa before kuwa nawe na hajakuambia utafanyaje..?

je, ukimuliza akakubali utaafiki..??

je ukafahamu ana mtoto lakini anawasiliana na mzazi mwenzake kwa siri na anatuma pesa kwa siri utafanyaje..???

je, uamuzi wako utakuwaje...???
 
mtoto si wako, kama kakiri sikiliza sababu zak e kwa nini alikuficha then zipime uzito, hakuna ubaya baba mzazi wa mtoto kutuma matumizi tatizo ni huo usiri uliopo, umuulize akwambie kwa nini? then chuja mbivu na mbichi zote zinadepend na sababu atakazokupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…