StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Uzuri wa mwanamke tabia,Urembo upo dukani[emoji3]Jijini Dar wanaume zaidi ya milioni mbili umekosa mtaani hadi uje kutafuta mtandaoni?
Tuache hayo je una sura nzuri, umbo je au nawe ni kama wanawake wengine wa jf sura za baba umbo la kenge.
Ahsante kwa ushauri nna cm 175 or ft 5.8Boresha hapo kwenye urefu. Jipime kabisa urefu wako halafu andika futi zako hapo itawarahisishia wenye nia kujilinganisha!
Ok. Moderate(Edit) kwenye uzi wako hizo cm or ftAhsante kwa ushauri nna cm 175 or ft 5.8
👏Ok. Moderate(Edit) kwenye uzi wako hizo cm or ft
Bado sijapataUmeshapata?
It's ok[emoji23]sarcasm [emoji817]
I can👏You handle it well[emoji23]
Umri wako?Habari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote🙏
Umri 31yrsUmri wako?
Dini yako ?
Kabila lako ?
Picha yako plzzUmri 31yrs
Dini Christian KKKT
Kabila Mkinga
🧑🦼Picha yako plzz
We love youMorning everyone, i wish you a good day 🙏
Habari ya wakati huu!

K