Tuambie na kabila lako kabisaHabari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote🙏
Karibu tutafahamiana zaidi if you're serious 👏Tuambie na kabila lako kabisa
Fungua inboxKaribu tutafahamiana zaidi if you're serious [emoji122]
Duh sasa mbona ata mtaani wanakujaga wengi tuu na kumpata mkweli shida...wakishakula mbususu wanasepa. Msimkatishe tamaa mwenzenu kwanza binti kajitunza mpak 30 hana mtotoWatakuja wengi na wataishia kukupotezea muda....bahati iwe kwako.Amina
Nko PM chekHabari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote[emoji120]
👏Nko PM chek
Hello habari ya vip umeshapata au badoHabari ya wakati huu!
Natafuta mpenzi ambaye baadaye ikimpendeza Mungu atakuja kuwa mume na baba watoto wetu. Sina vigezo vingi.
Awe mcha Mungu(mkristo), umri kuanzia 32yrs hadi 40yrs, Single na kama akiwa hana mtoto itakua vizuri zaidi, Kama anaye basi asizidi 1, awe mrefu ft 5.8 na kuendelea(muhimu sana kwani hata mimi ni mrefu ft 5.8)
Sifa zangu:
Mrefu, mkristo 31yrs,sijawahi kuolewa na sina mtoto bado, muajiriwa, naishi Dar.
Karibu pm kwa kufahamiana zaidi, kwa walio serious, kama haupo serious tafadhari..
Usiku mwema wote🙏
Bado karibuHello habari ya vip umeshapata au bado
BadoTunaomba feedback kama bado tujaribu. Upweke sitaki 2024.