Mpenzi Natasha

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523


Jamani bado namfukuzia Natasha, Siwezi mPM maana MOD watasoma, nimekumbuka barua niliyomwandikia mwaka 1994. Huko uliko nijibu, Mwenzako ni Mchungaji ila bado nakupenda

Masa K
 
Jamani bado namfukuzia Natasha, Siwezi mPM maana MOD watasoma, nimekumbuka barua niliyomwandikia mwaka 1994. Huko uliko nijibu, Mwenzako ni Mchungaji ila bado nakupenda

Masa K

Eeeh...... Faza una mpenzi???
 
Hivi alipotelea wapi Natasha?
Aliwekwa kinyumba nini basi mchungaji umesha mkosa.
 
Hee Rev Masanilo umeamua kuwa Deacon, Natasha yupo ila nadhani kwa kuwa wewe ni mchungaji na majukumu yako ni kulinda wanakondoo wasipotee itabidi ujchukue jukumu la kumtafuta alipo. ANGALIZO: USIJE UKAMUWEKA KINYUMBA UKIMPATA NA UKATUMIA HELA ZA WAUMINI KUMUHUDUMIA:becky::becky:
 

Jamani mimi nampenda tu kwenye barua na si zaidi!
 
Umecheki mashairi? Kama hunitaki usimwambie mtu

Mchungaji mashairi yametulia ingawa vina ndo mgogoro. ila usijali, mwaka 1994 nadhani ulikuwa unajifunza, akikujibu hii najua utaweza kujibu kwa mashairi yenye vina vilivyosimama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…