luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,346 Reaction score 6,928 Jul 12, 2020 #1 Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
Ni sahihi kuanzisha mahusiano na mtu unayekutana naye social network ? Hili swali nafahamu sio ngeni masikion mwenu embu na leo tulighamue (review)
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Jul 12, 2020 #2 Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.
Ni sahihi ila kuna vipaumbele kabla ya kuanzisha mahusiano nadhani unazungumzia mahusiano ya kimapenzi ujaspecify ni mahusiano ya aina gani.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 76,039 Reaction score 230,142 Jul 12, 2020 #3 Wewe unaonaje?