Mpenzi niliyekutana naye JF, naye alizingua nikashindwa kuja nae US



You seem una pupa, pupa au speed speed wanawake wengi hawapendi, umemkosa sbb ya kutaka mambo haraka haraka sana, mapenzi yana speed yake, yaanze taratibu sana alafu yaache yachanganye yenyewe, pia usionyeshe una mpenda sanaaaa mwanamke, atakuona hujui mapenzi, mwanamke muonyeshe wewe sio cheap au ww sio akikuhitaji anakupata tu, muonyeshe uko busy hupatikani kirahisi kwa saa yeye anazokutaka, hiyo itamuongezea kukupenda

Any way, ulikuwa na pupa sana ukakosa tegemeo lako la kuoa
 
Well, pupa nilikuwa nayo, au naona bado ninayo kwa sababu naona umri unaenda. Ila nazidi kuibalance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…