Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

Hata kwa maskin pia hua natoa
Hao achungaji hawastahiki sadaka. Maana ni wavivu hawafanyi kazi.wanakopa pesa kujwnga Kanisa kama kitega uchumi tu, sio watu wazuri kiwapa hela.
 
duh c hela ya kujenga ghorofa anaweka mkononi asee hyo ni dharau
 
Wakuu naomben kuulizaa

1. Ivi uyu Sarah anafanya mishee gani
2. Iyo saa ina nn cha muhimu sanaa au inamuongezea mzee baba muda Wa kuishii

NB: wabongo kwa sifa tumezidi asee..... sio kwa bei hiyoo
 
Nyumba anayoishi ina gharama gani?
Hata iweje siwezi vaa saa ya mil 600. Nitaiuza kesho yake!
 
Wenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
 
Wenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
I I Hey assessed
 
Wenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
Vumilia bro utapata zawadi zaidi ya harmonize
 
Ipo Siku Uyu Mtu Atakuja Kutuomba Msaada Tumchangie Sababu Ya Tatizo Fran

Ngoja Niwe Mpole
 
Hii saa bongo 5 wamesema ni million 65 hivi huku 600 wasafi baby [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo 600 uwongo mtupu kama ile mimba ya huyu mzungu iliyayuka ghafla na yenyewe
 
Na habar za mimba

Akija nayo huku TRA wanamuhusu. Million 600, VAT 18% ni kama m108. Sasa amfahamishe kabisa aliyempa iyo zawadi aje na million 108 mkononi.
Hakuna kitu kama hicho...yeye amelipia vat huko hapa anavaa tu...ni sawa na kununua suruali yako ukaanza kuivaa halafu udaiwe vat
 
Vumilia bro utapata zawadi zaidi ya harmonize

Mmmmmh....Mkuu We acha tu! Hapa kwenyewe tu nina ' dozi ' ya Sindano ya ' KaswendeGono ' naimalizia leo jioni baada ya kupewa hiyo Zawadi na mmoja wa ' Shemela ' wako kati ya Wanne ( 4 ) nilionao / ninaowamiliki ' Kibaiolojia '.
 
saa ya million 600 halafu wanatembelea mark x ya million 14 tena alipewa zawadi na diamond kwenye birthday........anyway kwa akili hizo wacha bashite aendelee kuwatawala dar
haaa hahaaa mijitu miongo mpka imepitiliza nje ya neno lenyewe linaloitwa uwongo"""

yaani ml.600 lakini bado kaajiriwa wala haoni umuhimu wakuwa na kampuni yake ...hicho kiasi cha Pesa hakijafikia hata kiwango cha budget ya kampuni ya boss wake ...mijitu mingine milofa sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…