Mpenzi wa Harmonize amnunulia saa ya milioni 600

saa ya million 600 halafu wanatembelea mark x ya million 14 tena alipewa zawadi na diamond kwenye birthday........anyway kwa akili hizo wacha bashite aendelee kuwatawala dar
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
saa ya million 600 halafu wanatembelea mark x ya million 14 tena alipewa zawadi na diamond kwenye birthday........anyway kwa akili hizo wacha bashite aendelee kuwatawala dar
😀😀😀
 
Madale wanapenda kukesha kwenye mitandao na kutengeneza kiki.....Hapo itakuwa kuna wimbo mpya unakuja
 
Wenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
[emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha sana loh
 
Kuna msela hapa anataka ampige pumbu huyo chalii atampa saa ya billion 1.

Ila sharti lake atangaze pia alipewa zawadi na huyo mshkaji.
 
Saa mill 600.....??????Bila shaka hii itakua inatoa service zote
 
Mwanamme anachekelea "kuhongwa" au niseme ni "zawadi"
dunia imebadilika siku hizi.
Naisubiri yako na Mimi nije nitoe ushuhuda hapa Jf ! ha haaa haaaaa
Haya mambo wanaweza wanaume wa Daresalama
 
saa ya million 600 halafu wanatembelea mark x ya million 14 tena alipewa zawadi na diamond kwenye birthday........anyway kwa akili hizo wacha bashite aendelee kuwatawala dar
acha chuki mtoto wa mama .. jama anayo prado ya kwake ya million 50 ... utayala japo yananuka
 
huyu jamaa kijijini kwao ni wapi/?naamini hizo wanazotaja ni Dola za Zimbabwe
 
dah alikuwa na haki ya kumtema yule kupe mchaga
 
Wachina wamaziuza buku saba mia nane tu, tena hamna haja ya ku-Google wala nini. We kama una mapene au noti, wao wanakuuzia bila risiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…