gigolo maana yake nini?GIGOLO???????????????
Usione uvivu just googlegigolo maana yake nini?
wezi maliza zipo nyingi sanaNimekuja kusoma comments tu...
a young man paid or financially supported by a woman, typically an older woman, to be her escort or lover.gigolo maana yake nini?
Sio mbili sifuri 3 zimewekwa kimakosa hii saa mm nilinunua elfu 56 ninayo hapaNadhani hapo kuna sifuri mbili zimeongezwa kimakosa
Kajiandae yooooooohHizo hela zote si angeenda kubadilisha kijijini kwao.
Labda hiyo saa ilikuwa y'all marehemu babu ake na sara. Akapewa urithi nae ndo kamrithisha hamo
SASA NJAA ZAKO UNAZIHUSISHEJE NA WENGINE PIMBIZ WE ,HAPA DUNIANI KILA MTU NA LWAKE MI NIKITAJIRIKA KWA BIDII ZANGU NIKILA BATA NDO NILAUMIWE KWA UMASIKINI WAKO UTOKANAO NA UVIVUWengi wanahangaika na mlo mmoja,wachache wanachezea pesa.Tutakutana siku hiyo isiyo na shaka kuja kwake.
hahahahaNaisubiri yako na Mimi nije nitoe ushuhuda hapa Jf ! ha haaa haaaaa
Haya mambo wanaweza wanaume wa Daresalama
Wcb ndo wamenunua hio saa?This is WCB family baby
nimecheka sana mkuu,,,dahWenye bahati zao kweli wanabahatika na siyo Sisi wengine ambao ukibahatika kupata Zawadi kwa Demu wako basi jua ni ya Gono au Kaswende pekee kama si na ile ya Dally Kimoko.
Inawezekana hata sifuri tatu mkuu.Nadhani hapo kuna sifuri mbili zimeongezwa kimakosa