Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman wana jf naombeni msaada natafta mpenzi wa kizungu maana awa wa kibongo washanichosha
achana na wafilipino kabisa,nishakuwa nae nikaona hana jipya na wala hawana yale mapenzi tunayoaminishwa kwenye movie,Jamani wana Jamii forums.
Naombeni msaada natafuta mpenzi wa kizungu maana hawa wa kibongo washanichosha.
Bila shaka mkuuKwa hyo ukamuacha!!