Mpenzi wa kutalii naye.

Mpenzi wa kutalii naye.

Nenda serengeti mbugani kuna viboko wamejifungua majike wengi tu, nafikiri utapata kakiboko kamoja kajike kazuri tu.
 
Andika kuwa unatafuta malaya sio mpenzi...kama angelikuwa mpenzi basi ungelidumu naye
 
ubarikiwe, kwa kuwa wewe si malaya.

Naona umeshindwa kunielewa, sijakuita wewe kuwa ni malaya bali huyo utaempata...

Kumbuka unataka kumtumia tu mara chache na sio kudumu naye...umeelewa sasa?
 
Naona umeshindwa kunielewa, sijakuita wewe kuwa ni malaya bali huyo utaempata...

Kumbuka unataka kumtumia tu mara chache na sio kudumu naye...umeelewa sasa?

vipi kama atafurahia hiyo safari na mambo yake yote pia itakuwa nimemtumia? Je, kama itatokea na yeye alikuwa na wazo kama langu pia itakuwa nimemtumia?
 
Ungesema Paris ningestuka lol
cc Kaunga snowhite

sasa si bora angesema anataka kwenda kutalii wapi?
hivi imebaki kwenye mabano unapaswa kustuka zaidi Kaunga ana crave na utalii wlahi lazima ampm huyu
and sitaki kushuhudia hicho kilio chako baada ya hapa!
kau kuna deal huku honey!
 
Last edited by a moderator:
vipi kama atafurahia hiyo safari na mambo yake yote pia itakuwa nimemtumia? Je, kama itatokea na yeye alikuwa na wazo kama langu pia itakuwa nimemtumia?

Haya hapa chini ni maneno yako mwenyewe ndugu...

Natafuta mpenzi (mwanamke) wa kutalii naye ndani ya nchi, mara 1 au 2 kwa mwaka kwa muda wa wiki 1 au 2 kwa kila safari

Maneno yenye rangi nyekundu ndio yanayoashiria kuwa wamtaka mwanamke kwa matumizi ya muda mfupi au kwa ufupi ndio huko kumtaka mwanamke kwa kumtumia...

Pili, ungeliandika kuwa wamtafuta mwanamke wa kutalii naye kwangu mimi wala nisingeakutilia shaka, lakini ulipoingiza neno "mpenzi" hapo ndio nilipoona kuna cha ziada ukitafutacho....
 
Tunaenda wapi na wapi......? Mi nakuja......gharama zote juu yako eeeeehh.......!!?
 
Hahahaha mnataka kukuza utalii wa ndani sio? hahahahahahahaha only fools will be fooled. Kila la heri mkaka.
 
Back
Top Bottom