Mambo poa tu KipipiMmmhh acha uchokozi Jpili leo Namaanisha hayo mambo yamepitaNa hauko tauari/ na haujisikii vemaKurudi nyuma na kuuaongelea tena..Jpili njema Kipipi..Mamaa Afro mamboo....! Unamaanisha unahitaji comfort kwanza, so then u can talk about it....eeh!
OK. Hapo nimekuelewa, mi nilidhani we unataka action kwanza alafu maneno baadae! Kumbe sivyo....!! Hahahahahaaaa Upo sawa kabisaaa, j2 njema pia.Mambo poa tu KipipiMmmhh acha uchokozi Jpili leo Namaanisha hayo mambo yamepitaNa hauko tauari/ na haujisikii vemaKurudi nyuma na kuuaongelea tena..Jpili njema Kipipi..
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
ahh mimi ata kumuona sitak
hanivutiii hata kidogooooooooooooo yaan puuuh!!!!!!!
Kwenye red,kwani mlikosana!yeye amekuomba mkumbushie,hapo ugomvi wa nini?mi hata sura yake sitaki kuiona nn kukumbushia????????????? aende mbele !!
ahh mimi ata kumuona sitak
hanivutiii hata kidogooooooooooooo yaan puuuh!!!!!!!
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
Kuna kusahau na kusamehe pia.Unajua kwa upande wa wanawake/mabinti,huwa wanakuwa na hisia kwamba anayekuanza hawezi kukutenda na atakuheshimu sana,na possibly ndio atakuwa mwenza wa maisha.Sasa kama alikutenda mkaachana you can imagine utakavyomchukia na kumdharau,alafu ukumbushie kipi hapo?Hivi kuna mwanamke anayependa kuchezewachezewa tuuu...........
We mtoto bado tu umevunjika moyo? msamehe bure ili uweze ku move onAmbavo simpendi, sitaki hata kumuona, nini kukumbushia, bora nibakie single tu
Hii mara nyingi inategemea mazingira mliyoachana, kama hakukuwa na ugomvi labda mlipotezana au mlishindwa kuoana sababu ya dini kabila, social class uwezekano wa kukumbushia ni zaidi ya asilimia 85%, maana feelings hazikuwa distructed bali maisha ndio yalipelekea nyie kuwa apart
Kwa hiyo ni vema kukumbushia eeeh........Hii mara nyingi inategemea mazingira mliyoachana, kama hakukuwa na ugomvi labda mlipotezana au mlishindwa kuoana sababu ya dini kabila, social class uwezekano wa kukumbushia ni zaidi ya asilimia 85%, maana feelings hazikuwa distructed bali maisha ndio yalipelekea nyie kuwa apart