Mpenzi wa kwanza.....

Tuheshimu ndoa na kuepuka uzinzi wapendwa, khaaaaa!!!
 
kuna methali ya kiswazi inasema "Mwanaume/mke wake wa kwanza ni mme/mke mwenzio".I hope umenisoma hapo
 
That shows they are not committed to their spouse, love is all about commitment.
 
Ukweli ni kwamba mahusiano na your ex itategemea kama mliachana kwa amani au ugomvi. Kwa upande wa kuachana kwa amani bila ugomvi let say ni mazingira au mambo ambayo kimsingi mlikubaliana kuwa muachane basi ni rahisi mkikutana na kukumbushiana hasa pale ambapo wote au upande mmoja haujaridhishwa na mwenzi wa sasa.

Na mbaya zaidi kwa yule mwanamke ambaye ulikuwa wa kwanza kumbikiri na ikatokea ameolewa na mtu mwingine na ikawa mliachana kwa sababu ambazo hazikuleta ugomvi ni rahisi sana kukumbushiana penzi. Tunaamini kuwa kitendo cha kubikiri na kutoa damu ni kama umefunga agano kati ya wawili hao.

Ndiyo maana wazee wetu walijaribu sana kulinda mabinti wao kwa mila na desturi ili wasije wakapoteza virginity treasure!! Ni agano mbaya sana kisaikolojia na ndiyo maana ukibahatika kuoa mwanamke bikira inabidi umheshimu sana.

Ila tu nikujutahidi kuboresha mahusiano uliyo nayo ili kuondokana na tatizo la kukumbuka ex wetu. But ndoa ni ngumu jamani zinahitaji uvumilivu na nguvu ya pamoja kuilinda na kuoboresha kila siku ili kuepuka maudhi ya kukumbuka wapenzi wa zamani au kutafuta wapya kabisa.
 
Mavi ya kale hayanuki,lazima enzi ikumbukwe,kimsingi anatakiwa arealize kuwa niko na mwenzagu na asije leta tifu na ugomvi
Yananuka sana, kama unabisha yanyeshewe usikilizie.
 
nwy, what i believe is that kwa mtu anaejiheshimu na kuiheshimu ndoa yake suala la kumbania si la kuuliza, ila kama ndo akina nyie msioyajali mahusiano ya wengine it may happen, BUT, dont forget kwa wewe unaefanya hivyo na chako lazima kiliwe

ukweli usiopingika

mliwa cha mwenzake na chake huliwa
mtenda siku zote hutendwa!!!!!!
 
Yeye alikuw tu sehem ya maisha yngu na kwakuw nmeshaamua kuoa mwingine bac hana nafas tena!l thnk u get me!
 
Yeye alikuw tu sehem ya maisha yngu na kwakuw nmeshaamua kuoa mwingine bac hana nafas tena!l thnk u get me!
Hata akilia na kugaragara chini hutamuonea huruma kweli?
 
Haitakiwi kutapika na then kurudia kula matapishi yako.....Past is past never bring it to present
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…