SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Bado haujachelewa Mimi nipo JfNakumbuka nilipojiunga 2022 nilijitanga i am new here .
Nilipataga mwanaume mzuri sana shida ikaja alikuwa kaoa na mchagga huyo alikuwa anataka anioe mke wapili ila ......
Ila sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee .
ILikuwa ni kiburi changu tu ila sijawahi pata baba mzuri vile anacare nilikuwa na kiburi cha pesa.
nadhani ningekubali kwa raha zile saizi nipo dubai nakunywa chai ya waarabu ..
Mzee ni handsome rangi ya chocolate tajiri anaendesha vogue acha tu mara ingine na mmisi dady maana ni mtu mzee saba 55 .
Aliniacha maana alinipenda kwa sharti moja niwe mke wake nasio mchepuko . Na mmisigi hatari ....
Nimewahi pendwa ila huyu ni kiboko naisi hata kama ninaye hamzidi huyuu kwa kunijali.
Alinipenda sana . Mmewahi lala sehemu hadi unakataa kuamka usiondoke.
I miss u my love my only love sweety one
Siunataka mtu asilimu ndio aje kuwa you are lovely wifeBado haujachelewa Mimi nipo Jf
Natawaka niwakilishe vyema Gen Z , nataka nioe hapa Jf
Mzee wa watu akisoma hapa atajuta kukufahamuIla sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee .
Hahaaa sasa sialishindwa mechiiMzee wa watu akisoma hapa atajuta kukufahamu
Waislamu tunaruhusiwa kuoa Wakiristo bila hata kusilimu , mkawa mke na Mume na kila mtu na Imani yake .Siunataka mtu asilimu ndio aje kuwa you are lovely wife
hyo kijana mbichi ndo unamuita mzeeee😹😹ana ni mtu mzee sana 55 .
ni kweli ila sasa utanipa nini nikupendee nisione wengineWaislamu tunaruhusiwa kuoa Wakiristo bila hata kusilimu , mkawa mke na Mume na kila mtu na Imani yake .
Huoni Kassimu Majaliwa mkewe mkiristo ?
Nakumbuka nilipojiunga 2022 nilijitanga i am new here .
Nilipataga mwanaume mzuri sana shida ikaja alikuwa kaoa na mchagga huyo alikuwa anataka anioe mke wapili ila ......
Ila sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee .
ILikuwa ni kiburi changu tu ila sijawahi pata baba mzuri vile anacare nilikuwa na kiburi cha pesa.
nadhani ningekubali kwa raha zile saizi ningekuwa dubai nakunywa chai ya waarabu ..
Mzee ni handsome rangi ya chocolate tajiri anaendesha vogue acha tu mara ingine na mmisi dady maana ni mtu mzee sana 55 .
Aliniacha maana alinipenda kwa sharti moja niwe mke wake nasio mchepuko . Na mmisigi hatari ....
Nimewahi pendwa ila huyu ni kiboko naisi hata kama ninaye hamzidi huyuu kwa kunijali.
Alinipenda sana . Mmewahi lala sehemu hadi unakataa kuamka ili usiondoke.
I miss u my love my only love sweety one
Kama we alikujali hvyo Kwanini wewe hukumjali na hata kumsaidia hiyo ishu ya nguvu za kiume Ili muwe Pamoja😊😁Nakumbuka nilipojiunga 2022 nilijitanga i am new here .
Nilipataga mwanaume mzuri sana shida ikaja alikuwa kaoa na mchagga huyo alikuwa anataka anioe mke wapili ila ......
Ila sijaweza maana hana nguvu zakiume na nimzee .
ILikuwa ni kiburi changu tu ila sijawahi pata baba mzuri vile anacare nilikuwa na kiburi cha pesa.
nadhani ningekubali kwa raha zile saizi ningekuwa dubai nakunywa chai ya waarabu ..
Mzee ni handsome rangi ya chocolate tajiri anaendesha vogue acha tu mara ingine na mmisi dady maana ni mtu mzee sana 55 .
Aliniacha maana alinipenda kwa sharti moja niwe mke wake nasio mchepuko . Na mmisigi hatari ....
Nimewahi pendwa ila huyu ni kiboko naisi hata kama ninaye hamzidi huyuu kwa kunijali.
Alinipenda sana . Mmewahi lala sehemu hadi unakataa kuamka ili usiondoke.
I miss u my love my only love sweety one
Yesss mwaya hawezi mechi kuna muda anawasha moto na hawezi kuzimahyo kijana mbichi ndo unamuita mzeeee😹😹
TUlienda akaambiwa kazeeka tayari na zitamzuruKama we alikujali hvyo Kwanini wewe hukumjali na hata kumsaidia hiyo ishu ya nguvu za kiume Ili muwe Paloma😊😁
Huyo wako alikuwa kibonge 😹mzembe ila kwa vile alihudumia tumemsamehe bureYesss mwaya hawezi mechi kuna muda anawasha moto na hawezi kuzima
🤣🤣🤣🤣TUlienda akaambiwa kazeeka tayari na zitamzuru
30+55 ni mzee sana una miaka mingap kwan?
Inabidi mtafute akuguse kidogo mana inaonekana umemmissTUlienda akaambiwa kazeeka tayari na zitamzuru
AkinifiaInabidi mtafute akuguse kidogo mana inaonekana umemmiss