Mpenzi wako alikwambia au alifanya nini ukasema kimoyomoyo huyu hawezi kuwa mke/mume wangu

Mkuu Haya Ndio baadhi ya Maneno
 
Madem washwain kwel. Mm aliniambia yan ukipata tu hela uwe unanipa kila wakati hata kama sijakuomba, nikaona hakuna mke hapa nikala kisha nikapita👉
 
Katikati ya mechi akaniuliza nitampa hela aliyoomba,nilipoitikia akaongeza madoido
Akaniuliza nitampa hela aliyoniomba,nilipomjibu ndio akaongeza madoido ya game nikajisemea huu ni mwanzo na mwisho nae.
 
wewe ni kama mimi,ndoa yangu haijawahi kuwa na changamoto zaidi ya furaha na amani.
 
Ukimwambia kitu hasikii.....

Ukimwambia usifanye kitu Fulani anakuangalia juu Hadi chini...

Ogopa Sana wakwaya na wajita..
Ndo hao hao mi' nilikutana na "Mkabwa" ilikuwa ni sheedah...

Na sidhani kama alimpata mme wa kuishi nae kama mke...
 
Katikati ya mechi akaniuliza nitampa hela aliyoomba,nilipoitikia akaongeza madoido

Akaniuliza nitampa hela aliyoniomba,nilipomjibu ndio akaongeza madoido ya game nikajisemea huu ni mwanzo na mwisho nae.
😂😂😂
 
Alikuwa anatoroka kwao halafu geti kali anakuja kwangu usiku saa9-10 namrudisha.


Huyu mwingine nilioyekuwa nafahamika kabisa nitakuja kumuoa kwao na kwetu. Kuna siku alitukanana na mama mtu mzima matusi ya nguoni nikasema huyu hafai hafai hafai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…