Mi wa kazini sinaaa.
Mbona... Hahaha π€£ πMi wa kazini sinaaa.
Kama yee anaye Atajua mwenyewe as long as kila siku anarudi home naikeshea
Ni kuachana tu na huyo malaya maana hata ukisema umpasue kama kugongewa umeshagongewaUkimkuta hivyo utafanyaje
Msamilie wako wa kaziniiiiππππ!Mbona... Hahaha π€£ π
Akitokea ambae siyo bahili fresh tu...Hakunaπ€£π€£ππwabahili wale. Home kumenoga
Ntampata bungeniEvelyn Salt mpenzi wako wa kazini anaendeleaje?
Sina sababu unaijua...Msamilie wako wa kaziniiiiππππ!
Akitokea ambae siyo bahili fresh tu...
Bungeni nimebaki mwenyewe huna option sijui utafanyaje...Ntampata bungeni
Ngoja tuone...Aaah wapi hawezi zidi wa home maana ni full droo kujichotea tu
Weeee wale wanaokurembuliaga macho nakujilegeza πππππππ!!Sina sababu unaijua...
Huwezi kula kondoo wako mwenyewe...
Nimeokoka na nampenda Yesu, hizo ni dhambi...Weeee wale wanaokurembuliaga macho nakujilegeza πππππππ!!
Kondoo akiingia 18 analiwa vizuri tu . Kula mema ya duniaaaaaaaπ€
Umeokoka Since when who which!!Nimeokoka na nampenda Yesu, hizo ni dhambi...
Amen nimebarikiwa...Umeokoka Since when who which!!
Glory be to God!
Hallelujah
Hiki ni kichaka,kusema SIYO WOTE,my friend huyo unayeona siyo mmoja wao,ukisanitize simu yake,hutaamini.Sio wote wengine wana misingi ya maadili imara hivyo KAZI inakuwa baraka kwa NDOA yake na sio laana