Muramwaito
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 420
- 829
Hiki ni kichaka,kusema SIYO WOTE,my friend huyo unayeona siyo mmoja wao,ukisanitize simu yake,hutaamini.
Mie sina...nimekaa kama kamanda wananiogopaAngel Nylon kuja hapa uelezee wa kazini nani...
Hakuna uliyemfia hapo kazini...Mie sina...nimekaa kama kamanda wananiogopa
View attachment 3404537
Hakuna, wote kama wanangu tuHakuna uliyemfia hapo kazini...
Hiki ni kichaka,kusema SIYO WOTE,my friend huyo unayeona siyo mmoja wao,ukisanitize simu yake,hutaamini.
🤣🤣Mie mgeni maeneo hayo🤣🤣🤣
Wewe bado mtoto mdogo sana... Au basi lakini...Hakuna, wote kama wanangu tu
Wana....
Unapenda kunikera eeh? Ndio furaha yakoWewe bado mtoto mdogo sana... Au basi lakini...
Embu nuna kwa faida ya members...Unapenda kunikera eeh? Ndio furaha yako
😂😂😂😂Tena anapewa kukuliko