kunta93
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 754
- 1,512
Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti
Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana tishana
Je akitongozwa na crush wake ataniambia?
Hivi viumbe vina mambo mengi
Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana tishana
Je akitongozwa na crush wake ataniambia?
Hivi viumbe vina mambo mengi