Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
endeleeni....
Hamjapenda ?
Wewe uliyependa angakuwa muaminifu kwako
Ndio maana unaepusha maumivu ya moyo...ukimuacha awe si mwaminifu utazidi kuumia...!
Muache ndo akili itamkaa sawa!
Atatamani ila mwenzie atakua kashasonga mbele!akili ikishamkaa sawa sijui atarudi.
Atatamani ila mwenzie atakua kashasonga mbele!
Tatizo ni kwamba mtu akishapoteza uaminifu inakua ngumu sana kurudisha na wengine kuacha yaliyosababisha hawawezi!Kila siku utakua unawaza kama kweli kaacha...kisa cha kufa kwa presha na msongo wa mawazo?Lizzy, utakua na uhakika gani kuwa huyo mwingine hatakutenda? Najaribu kufikiria jinsi gani tutakavyokua tunaachana na kuanzisha uhusiano mpya every now and then...mana hakuna guarantee huko tunakosonga mbele kutakua na uaminifu asilimia mia.
Tatizo ni kwamba mtu akishapoteza uaminifu inakua ngumu sana kurudisha na wengine kuacha yaliyosababisha hawawezi!Kila siku utakua unawaza kama kweli kaacha...kisa cha kufa kwa presha na msongo wa mawazo?
Unachosema ni kweli, ni ngumu sana kumuamini mtu aliyekutenda. Mi ninavyoona kabla ya kusonga mbele ni bora ukajua tatizo liko wapi, inawezekana ukawa ndio chanzo cha mwenzi wako kutoka nje. ukijua tatizo itasaidia hali hiyo isijitokeze tena iwe kwa huyo jamaa ama huko unakosonga mbele.
muda wa kutafuta tatizo utaupata wapi?
Muda huo huo unakua unamuwaza mpz mwengine...nahisi hata katika mahusiano wengi wetu tunao wengine tulio wawaweka kama akiba...ikitokea ...ukajitulize...kumbe na huko kutakua hvyo hvyo.
Kwanini hakuvunja ukimya kabla ya kutoka nje ili litatuliwe kama kuna tatizo!Unachosema ni kweli, ni ngumu sana kumuamini mtu aliyekutenda. Mi ninavyoona kabla ya kusonga mbele ni bora ukajua tatizo liko wapi, inawezekana ukawa ndio chanzo cha mwenzi wako kutoka nje. ukijua tatizo itasaidia hali hiyo isijitokeze tena iwe kwa huyo jamaa ama huko unakosonga mbele.