nakumbuka wakati ule unga wa mahindi ulikuwa sh 300 kilo, sukari ilikuwa 400 sh kilo, mafuta ya taa yalikuwa 250 lita, mkate ulikuwa sh 150, nauli daladala ilikuwa sh 100 tu, dola 1 ya marekani ilikuwa shilingi za tz 1000, ndio naweza kukumbuka ilikuwa wakati huo. lakini toka aingie mr. journey mpaka nimesahau maana vimepanda mno hata mapenzi ndani ya nyi=umba yanapungua.