Mpenzi wangu ameniambia "Wanawake tunataka pesa"! Je, ni Sahihi?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Katika maongezi na shemeji yenu amefunguka kuniambia

"Yaani wanawake tunataka hela, twende mbele turudi nyuma tunataka hapa huku akipigisha vidole kama anahesabu hela"

Maoni Yangu Naona ni sawa kumuhudumia mwanamke ila si sawa yeye kusema wanawake tunataka hela Naona kama ni makosa makubwa.

Karibuni
 
Huo ndo ukweli mkuu, wanawake wanajali vitu sana kuliko utu. Mapenzi hamna siku hizi ni utapeli tu.
 
Valentine day IFUTWE haina maana kwa kizazi cha leo.
 
Kumekucha
 

Attachments

  • SGN_02_10_2025_1739196461673.png
    713.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…