Mpenzi wangu amenigandisha kituo cha BASI(STENDI)

Ukikutana nae kwa utasho wako kula tigo tu huyo ufanye mazoezi
 
chukua za kwako changanya na za mbayuwayu...
 
pheeew nilikuwaga na karoho kama kako ka kuwa bembeleza hawa watu, lakini hawana roho ya huruma hata kidogo..we fikiria katika hali ya kawaida kumuacha mwenzako afunge safari toka mkoani, afike mjini anakupigia simu then hutokei..sio unyama huu..kama ana akili si angekuambia tokea mapema kuwa usije mjini maana hana mpango na wewe?? ndo maana siku hizi nimecha kuwa na roho nyepesi na hawa viumbe..ukiwachekea watakufilisi mzee..just imagine mihela yote uliyopoteza kwa nauli na kulipia hoteli..bora ungepiga gambe huko mkoani na beibe mkali tu..hasara hii..
 

haikuumi yeye kugongwa na dem mwingine?????weeeee
 

we r on the same meli mdau,,,,and the same clases,,,,,sitakaa kuingia na miguu yote kwa hawa viumbe
 
pole bro. mi mwenyemwe nilishakutana na issue kama ii but mimi nilimfata demu mkoani alipokuwa ana fanya kazi kufika akajificha ata kwakwe akunionesha, ni kalala guest keshoyake morning nikageuza na sim no yake ni kafuta.

nyc idea,,,yaan wala huzungumz nae saana wewe unakausha tu.....
 
Poua wadau,alikuja ile jion..kwa hasira sikumuuliza kitu...nikamuangushia mvua ya magor(nane)asubuhi nikasepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…