Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Unamshaurije?
Asante bossUaminifu ni kama pesa, Ngumu kuipata rahisi kuipoteza, sema huyo jamaa wa Kigoma nae atulie tu hata kama atamroga hela haitorudi. Asamehe na aendelee kutafuta pesa tu. Dunia ina vitu vingi vya kumpa binadamu iwapo ataamua kupambana na kuzitafuta.
KikeJinsia ya mwizi tafadhali?
Laki 5 mbona ndogo sana siku moja tu inaisha na haitoshi!
Aah, kama ni Ke amsamehe tu.Kike
A move on tu hakuna kingineePenny buana me nina makasiriko.
Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar.
Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo.
Simu hapokei.
Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa?
Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya, amepungukiwa laki 5 nimsaidie.
Money Penny: Mgonjwa amepona?
Mhanga: Alisema amekufa anaenda kuzika kumbe uongo yuko Dar
Money Penny: Mahusiano yenu ya muda gan?
Mhanga: Miezi 3
Money Penny: Du!
Eti we mwana JF unamsaidiaje juyu mhanga? Anasema yeye ni mtu wa Kigoma atamloga.
Kabla hajamloga afanyaje?
Laki 5 unatoa mlio? Seriously?Penny buana me nina makasiriko.
Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar.
Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo.
Simu hapokei.
Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa?
Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya, amepungukiwa laki 5 nimsaidie.
Money Penny: Mgonjwa amepona?
Mhanga: Alisema amekufa anaenda kuzika kumbe uongo yuko Dar
Money Penny: Mahusiano yenu ya muda gan?
Mhanga: Miezi 3
Money Penny: Du!
Eti we mwana JF unamsaidiaje juyu mhanga? Anasema yeye ni mtu wa Kigoma atamloga.
Kabla hajamloga afanyaje?
We unadhan akirudi amfanyaje?Inaisha sasa hivi hiyo...we kausha jifanye hata uelewi....njaa itamrudisha tu...,akirudi hapo ndiyo uamue cha kumfanya
UweeeLaki 5 mbona ndogo sana siku moja tu inaisha na haitoshi!
Huyo Mpenzi ana njaa kali
UweeeAah, kama ni Ke amsamehe tu.
Siku si nyingi atamletea aichakate hadi akinai
Ndio imekuleta hapa mpaka uka commentChain
chai
chai
chai
CHAI
CHAI
Laki 5 usawa huu?A move on tu hakuna kinginee
Amtafutie wanaume wawili tu wenye nguvu za kiume wamrekebishe tabia mbayaWe unadhan akirudi amfanyaje?