Mpenzi wangu amenipiga mkwara wa kuangalia au kushika simu yake

mambo mengine kujitafutia kufa haraka
unaweza kuta ma utani ya ofisini humo
ukachachawa

Bila shaka kiburudisho chako kina kusaliti.Tafuta njia nyingine utamkamata live her hidden secret.

hizi simu hizi kero tupu

Kweli tupu Bosi wangu,

Usipopokea hata kama hukuisikia kesi, ukichelewa kuipokea kesi, usipoibeba kesi, ukiizima (ikizima kisa chaji) kesi, ikiita ukatoka nje kuongea kesi, usipopiga hata kama umebanwa na majukumu kesi, ukijibu msg kwa maneno mawili hivi kesi, kesi kero, kesi, kero....

Basi tu nimeizoea vibaya, ningeshaitupa long taim

Wewe unampaga yako? hapo bwana kuna tanganyika na zanzibar sio tanzania

hivi ni lini watu wataacha kufatilia simu za wenzao pasipo sababu? kujitafuti matatizo tu

aisee! Kuna ukweli hapa Gurta......Ndugu mwenye thread kwa maelezo yako tu naomba nikupe pole,hapo kuna hila tafakari chukua hatua.

Man yaelekea humuani huyo mwenzako, na kama humuamini hakuna mapenzi, trust me ushamchoka na unachotafuta kwa sasa ni sababu ya kumuacha tu,..

Tukubali tukatae wanaopenda usiri wa simu zao kwa asilimia kubwa ni cheaters. Hii ni duniani kote hata wataalamu wa mahusiano wanakwambia kama unahisi mwenzi wako ni cheater the best way of getting clue ni kupekua simu na e mail kama unaweza pata access. Tusisingizie utani ofisini wala nini. Utani ni utani na kucheat ni kucheat period. Kama wote ni cheaters wawili hamna shida ficha yako nifiche yangu maisha yanasonga kama open relationship vile!

mhhh mapenz bwana...ndugu yangu kiuhalisia apo unaibiwa if at all ni mpenz wako au wee ndo unaiba otherwiz
-maamuzi ni yako ila mambo yako uchi kabisa apo...ebu jaribu kufkiri wewe ungekua hutaki aguse sim yako sababu ingekua nini???kwamba unaiba vocha????

piga chini, tafuta ustaraabu mwingine. hapo utaingia choo cha kike ushindwe pa kutokea

Sio cha kike,cha Vilema!Manzi kama hii mimi sinanga mjadala mi napiganga chini!

Ifanye simu ya mtu iwe ya kwake kweli wala si ya jumuiya utaishi kwa amani sana tu!

Kweli mkuu ulichoandika.ikibeep namba ngen kes,tafadhal nipigie au naomba salio kwa no ambayo hujasave kwa jina kes,yaan cm kwnye ndoa now day problem tupu,ukiliza why?oooh nyie wanaume cku hizi hamuaminiki

Piga chini fasta hiyo manzi,hakuna cha kuremba,mpige chini kwa ile stail yetu ya kimya kimya,kama unauwa mwiz kimya kimya.ukiendelea nae iko siku utakuja jua ufiraun wa kinachomfanya afiche hyo cm na ukijua itakuwa too late,na itakuuma zaid ya ilivyo sasa,chukua hatua mapema ndugu yangu

Kweli mkuu ulichoandika.ikibeep namba ngen kes,tafadhal nipigie au naomba salio kwa no ambayo hujasave kwa jina kes,yaan cm kwnye ndoa now day problem tupu,ukiliza why?oooh nyie wanaume cku hizi hamuaminiki

Bora zile za mezani, hizi hata akipiga nani afu akadai kakosea namba ni posibo kabisa na haihitaji maelezo mengi

aisee! Kuna ukweli hapa Gurta......Ndugu mwenye thread kwa maelezo yako tu naomba nikupe pole,hapo kuna hila tafakari chukua hatua.

Ukimaliza kuongea inabidi useme nani kapiga na alikuwa anasema nini, usipofanya hivyo au ukiuma maneno ushahisiwa....

Mpenzi wako kama anakupenda kwa dhati hakuna sababu ya wewe kutoshika simu yake!
Simu yake ni yako na simu yako ni yake full stop!

Usishughulike sana na simu yake,kama kuna kitu ambacho kinakukera kwake mwambia kama ni cm au tabia yake imebadilika mkae chini muyatatue.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…