Tukubali tukatae wanaopenda usiri wa simu zao kwa asilimia kubwa ni cheaters. Hii ni duniani kote hata wataalamu wa mahusiano wanakwambia kama unahisi mwenzi wako ni cheater the best way of getting clue ni kupekua simu na e mail kama unaweza pata access. Tusisingizie utani ofisini wala nini. Utani ni utani na kucheat ni kucheat period. Kama wote ni cheaters wawili hamna shida ficha yako nifiche yangu maisha yanasonga kama open relationship vile!

<br />niaminivyo mimi simu ni personal property.mke/mme/rafiki ni marufuku kugusa simu isiyo yake
Na je kwa wale wenye mawasiliano ya kazini ambayo ni SIRI?
<br />Siri gani??? Ndiyo yale ya watu ku pretend wana usalama wa taifa kumbe wizi mtupu! Ni wangapi Tz wana kazi za siri. Na kama ni siri kweli inakuwaje unatumia simu wakati simu hazina siri unaweza kuwa wired?
<br />Jamani wadau hii imekaaje katika mahusiano?Eti ukiwa na mpenzi wako(she) halafu kwa hali isiyo ya kawaida ikatokea maporomoko ya hapa na pale ,then yeye akaanza kukupiga mkwara usiiguse simu yake na akiwa home muda wote ameishikilia mkononi(yaani akiwa anapika,akiwa sebuleni ,mkiwa chumbani muda wa kulala na hata akienda chooni), halafu kingine mkiwa naye kwenye gari labda yenu ya private ikitokea ameiweka mahali basi itafunikwa na leso au hata kuweka pochi juu yake,Je kwa hili ni hatua gani bora za kufuata au kuchukua?????