ADVENTURE JOHN
Member
- Jan 30, 2014
- 34
- 1
girlfriend yangu amefanya mapenzi na rafiki yangu wa karibu,inaniuma sana,je nifanye nini? naomba ushauri.

girlfriend yangu
amefanya mapenzi na rafiki yangu wa karibu,inaniuma sana,je nifanye
nini? naomba ushauri.
kwanini ilikuuma???
kwani ulikuwa na malengo gani maishani na yeye?
jaribu ku-install fire alarm kunako papuchi kumlinda...
akiguswa tu.. unapata notification..
ha! ha! vp we wako umemwekea hako ka alarm?
ukiwa na manzi moja utalia daily...
hapa naona michepuko inahusika.