Mpenzi wangu amenisaliti.

mleta thread uja funguka vizuri...ilikuwaje...pia malengo yako na huyo girl friend wako..je ana umri gan!... pengi ni utoto una msumbuwa.
 
Muache, halafu ukipata mwingine weka mbali na marafiki. Na uache kuwasimulia rafiki zako majamboz unayopewa! Marafiki wengine wanafiki!
 
Hapo umezung'ukwa na vichaa. Rafiki yako na huyo girlfreind wako wote vichaa. Ushauri wangu kwako ni kujitenga na vichaa ili roho yako iwe salama.
 
Zuga kama hujui mpe promis andaa gamekali alafu kula tigo mwanzo mwisho then mpotezee mazima kaka.
 
pole kaka mapenz yanapita tu kama vp tupa kulee!!
 
ni mpenzi YAKO au WAKO?ushauri ni kuwa geuka kuwa shoga ili umkomoe maana hata ukipata dem mwingine nae akikutenda utakuja tena kutaka ushauri...suluhisho na wewe kapakuliwe

wewe ushauri wako unampoteza mtoa mada
 
Usiombee kukutwa na bwana pepsii:biggrin1::wink2:
 
Pole sana ila muombe Mungu nawe atakusaidia pengine huyo hakuwa chaguo lako.
 
girlfriend yangu amefanya mapenzi na rafiki yangu wa karibu,inaniuma sana,je nifanye nini? naomba ushauri.
Tafuta best zake kama watatu hivi na wewe uwapelekee moto halafu unampiga chini.
NB:
Unatakiwa uhakikishe kuwa amejua kuwa umewakula best zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…