Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Hapo gesi imeisha wiki nzima hana hela ya gesi,friji ni kama simtank limejaa maji tu
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.