Kabisaa kila mtu acheze ligi saizi yakeBora umemuacha tu sio size yako 😅😅😅, kuna mwenzio ataona chache sana atamuongezea zingine.
Ana pepo la nguoHuyo ni undercover yaani kachero mbobezi katika maswala ya mapenzi na mahusiano😁😀🤣😃😅
Ajabu ni pale unamwambie tutoke kesho twende mahala, anakujibu sina nguo na viatu vya kuvaa.Ana pepo la nguo
Katika hiyo orodha hata nguo za ndani hana?Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Hizo sijahesabu ila hazipungui 290Katika hiyo orodha hata nguo za ndani hana?
Na anatumia masaa mawili kuvaa,atajaribu nguo zote na kutafuta pochi inayomatch,atavua na na kuanza upya,Ajabu ni pale unamwambie tutoke kesho twende mahala, anakujibu sina nguo na viatu vya kuvaa.
Umasikini shida sana. Sasa hivyo viatu na vifaa vyake vyengine ndiyo vimekuweka roho juu hivyo!Nimetoka kufanya sensa ya vitu anavyomiliki huyu kiumbe, hapo sijahesabu nguo zake, yaani akisema afungue boutique hana haja ya kuagiza mzigo China.
Nimeona hanifai, sitaki ushauri nawapa tu taarifa, msije jiuliza kwa nini nimemuacha huyu mrembo.
Tulikutana kazini ajabu kila siku anasena hana hela lunch lazima akupige mzingaUngetuambia kwanza jinsi mlivyokutana na maisha yenu ya mahusiano kidooogo,,hlf ungemalizia na hili.
Nguo ziendane na mahitaji mengine hapo jiko lake halina gesi wiki nzima,Umasikini shida sana. Sasa hivyo viatu na vifaa vyake vyengine ndiyo vimekuweka roho juu hivyo!