pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Dah! Huwa nasikia tu kuna watu wazima wanakojoa kitandani but sijawahi kukutana nae mpaka week iliyopita ndio nikaprove.
Kuna bidada mmoja tumetokea kupendana sana but tulikuwa hatujawahi kula tunda huwa ananipiga sana kalenda bila kuwa na sababu za msingi.
Kila nikimwambia babe njoo ntakufa na kihoro ananipga chenga.
Visingizio kibaooo heh mpaka nikahisi kuna mtu ananisaidia kazi huko kwao.
Ndipo nilipohoji kwanini napigwa kalenda bila sababu za msingi au haujanipenda!
Kama mnavyojua mahusiano ya siku hizi yalivyo bila kujamiiana unaona hakuna mapenzi na wakati mwingine unaweza sema mwenzio anakucheat
Basi mwenzangu akajawa na mawazo pasi kujua nini cha kufanya nilimuuliza tatizo nini but still hakuwa muwazi.
Basi maisha yakaendelea siku iliyofuata akaaga kwao anaenda kwenye sherehe atalala kwa rafiki yake. Ndipo akaja kwangu tukpiga stori tukapiga kilaji tukabanjuka amri ya sita tukalala.
Asubuhi kuamka mhhh nasikia harufu ya mkojo nikajipapasa maungoni kwangu nikajiona mzima sio mimi.Nikapapasa upande aliolala mwenzangu doohhh kalibwandaaa kojo jingii.
Alivyoamka alivyoona hali ile ikabid aseme jana alikunywa sana akaptiwa.. sio kesi mzee baba nikajfanya sina akili nikaanika godoro bahati nzuri nyumba ya fens.
Sasa cha ajabu juzi kaja tena tumelala kakojoa tena na wala hatukunywa ndo ikabid nihoj kulikoni.
Akaniambia huwa anaota yupo chooni anakojoa ndio analimwaga na huwa inamtokea mara kwa mara na kwa usiku mmoja anaweza kukojoa hata mara mbili.
Dah nikamuuliza kama kuna tiba tutafute akaniambia kwao wamehangaika sana na madawa kibao ya mitshamba lakini wapi.
Sasa jamani ushauri wenu kwa wale wnye utaalam na hivi vitu tusaidiane.
Shemeji na wifi yenu ndo yupo hivyo jamani na kumfukuza siwezi na hata kuachana nae sijawahi kufikiria.
Sasa tunamsaidiaje huyu mtu..!??