Kibumbula
JF-Expert Member
- Mar 26, 2018
- 3,683
- 3,349
Kijana mate si msaada. Tena mwanamke huwa hapendi kabisa.Tuna lazimisha tuu. Kwa kifupi mate humuumiza.Acha ufala temea mate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kijana mate si msaada. Tena mwanamke huwa hapendi kabisa.Tuna lazimisha tuu. Kwa kifupi mate humuumiza.Acha ufala temea mate.
Hawezi kukiri!...never!Yawezekana lakini nimemuuliza labda kanizoea mpaka mzuka umeisha ila amekataa katakata
Mie nikiwa sina hela...Vyakula vinaweza kuwa sababu,msongo wa mawazo, mazoea nk.
Mie hali hiyo hunipata kama sina pesa au nimekuchoka.
Basi fungeni namkeshe mkiombaHamna mkuu mimi nataka vitu asilia
Mpenzi wako ni mwenyeji wa mkoa gani?Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!
Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..
Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu....
Zile hela kadhaa za wanaume wa JF ulizokulaga Mungu anakuona![emoji53][emoji53][emoji53]Mie nikiwa sina hela...
Heheheee usinichekeshe mieZile hela kadhaa za wanaume wa JF ulizokulaga Mungu anakuona![emoji53][emoji53][emoji53]
Kama anatumia pilipili aache kabisa. Pia ajitahidi kunywa maji mengi pamoja na kula ndizi za kupikwa Mara kwa Mara.Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!
Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..
Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu....
Rafiki please, please, please,nami naomba huo msaada wa free p kwani hali yangu ya huku chini siyo nzuri!![emoji53][emoji53][emoji53]Heheheee usinichekeshe mie
Sijawahi kula hela ya mwanaume humu jf
Huwa napiga free p
Retired already.Rafiki please, please, please,nami naomba huo msaada wa free p kwani hali yangu ya huku chini siyo nzuri!![emoji53][emoji53][emoji53]
Lazima nikupe ukweli japo mchungu,hana hisia na wewe hapo unambaka tu anakupa just kukuridhisha ila hafeel chochote zaidi ya maumivu na michubuko! Cha kufanya fuatilia nn kimefanya apoteze hisia km ugomvi,styles, uchumi,michepuko au laah!Tuna mwaka na miezi 3 toka tuanze uhusiano. Mwanzo nilikua namuandaa anatoa ute wakutosha kabisa ,ila kadri siku zinapozidi kusonga hata nimuandae vipi ute unatoka lakini wakulazimisha mno!!
Hali hiyo ilivyoanza tulijua labda ni hali ya mpito lakini hakuna mabadiliko yoyote... nikimuuliza anadai yeye mwenyewe haelewi na inamuumiza kuwa hivyo na hajui tatizo nini..
Nimeona nilete jamvini maana naamini hapa hakishindikani kitu....
Looooooooooh!!....Rafiki naomba nipe cha mwishomwisho!....tena cha pasaka kitakuwa kitamu!Retired already.