Mpenzi wangu anakuja ghetto bila taarifa nimfanyeje?

Keshakuchoka..anakulia timing akufumanie ili akuache
 
Anakuja bila taarifa ila naamini ukiwaga ndani huwa unajifungia

sasa akija ukiskia mlango unagongwa chungulia kwenye pazia,ukimuona

n yeye Rudi chumbani kimya kimya tia earphone maskioni Kula ngoma kwenye simu yako

muache hapo mlangoni mpk akili imkae wima,kula ngoma ukichoka Lala vuta usingizi ule wenyewe kbsa.

ukishamchomesha mahindi ipasavyo nakuhakikishia Next time,akiwa kwao anavaa nguo anataka kuja kwako atakupa taarifa.
 
NA WW SI UMSUPRISE SASA
 
Fuga mbwa hapo kwako.
Hakikisha huyo mbwa hazoeiani na huyo mgeni wako
 
Mforwadie huu ujumbe kabisa huyo mwanamama

Nafikiri utamsaidia zaidi katika harakati za mabadiliko yake

Halafu hapo kwenye private ni privacy ​
Umenifanya niusome uzi upya
 
Inaonesha hajiamini au Hana Imani na wewe, Ila Kama unampenda kwa dhati sio issue Sana, kwa kiasi kikubwa hasara inabaki kwake cause siku nyingine atakuja na asikukute
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…