Mpenzi wangu ananibania sana!


Na wewe mbanie!
 

ahahahahahaaa,duh ya promotion? Hyo imenifurahisha,anyway kiukwel unatakiwa kufanya analysis,hasa kwenye game ili ujue kama anafurahia au la,mi nahic hujamkuna huyo,ukimkuna vizur atakuwa anawah yeye uwanjan,we unamkuta tayar anasubir timu pinzan game ianze,halafu chukua muda mrefu kwenye foreplay
 

maana jamaa inaonekana hatambuliki wala hana status kwa upande wa mwanamke kitu ambacho inawezekana mwanamke kaamua kumpa kwa kubana kama ni sehemu ya shukrani ya ufadhili
 
Safi sana wacha akubanie mana amekuonjesha asali sasa wataka kuchonga mzinga
 
kalipe mahari hukoooo! unakopa ndo maana anakubania,isingekua hiyo free accomodation usingeona ndani! ila wazazi wa siku hizi nao! yaani mtoto anafanya field anakaa kwa bf?wazazi anawaambia bado yuko chuo?

du! Bonge la ushauri. Crap Crap!
 

utakuwa unaharufu mbaya, humvutii kabisa! Kwi kwi kwi! Naishia mwituni
 
Jibu swali hil kwanza,nyumban ameagaje?
 
mkuu unakosea kuichakata...
ukipatia kuichakata, huwa wanasafiri umbali mrefu sana kufuata hiyo huduma...
mkuu kiukweli hapo umekita mizizi ya mchicha, any time wa2 wanakung'oa kirahisi...
 
yaani mambo ya chumbani unatuletea hapa jf, nyambafu kabisa we kijana ,kwanza inaonyesha ustaarabu kwako ni zero, usingetuletea huu ujinga hapa, unamtorosha mtoto wa watu halafu unaishi naye kimya kimya akikufia ndani utaeleza nini? unajua unachokifanya? umecalculate risks zilizopo mbele yako au umekurupuka tu kumchukua kwa kiu zako za uroda/ngono na ndio maana unakuja kulalamika hapa. fikiriri vizuri kabla ya kutenda.
 

Jamani kwanini anakubania mwenziee? au ww ukipewa ndio unafanya kama unatwanga mpunga unamchuna akitoka hapo hoi anashindwa hata kuishiika,inawezekama kua anaemwengine anaemkuna kuliko ww ss kwako anakupa afanyeje2 analipa fadhila zakuka hapo kwako,na bwana ww kwani unaitaka kila siku kama pipi?
 
Hapa kuna tatizo,
1. Atakuwa anakupa tu kwakuwa una mfadhili, ila hana mapenzi na wewe. Shida zinamfanya akupe.
2. Utendaji wako ni mbovu kiasi kwamba anaona bora akae na ugwadu wake. Maana unatibua maruhani na unashindwa kuyapooza.
3. Hakuamini kama utamuoa. Anahisi lengo lako ni kumchezea.
4. Atakuwa hana akili nzuri.
Jaribu kuzungumza nae umsikilize.
VUNJA UKIMYA, SEMA NAYE!!!
 

hehehe umu jf ukiamua kuchuua kila ushauri lazima segerea ikuhusu...heheehheheh wa2 wakachezee masaburi...hahahaha(dah jaman iyo a.k.a nime fol in lav nayo ase)
 
hata ukitaka kumkamata kuku unamtupia mahindi! Inavyooneka huna utaalamu wa kumuandaa na wala humfikishi kunakostahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…