Mpenzi wangu ananibania sana!

Bro bado huajawa na haki kimsingi ya kupewa km unavotaka saabu hujamuoa! Hiyo ni km zawadi anakupa na siku zote zawadi haichaguliwi aina wala kiasi, mtoa zawadi huamua akupe nini na kwa kiasi gani. Muulize kwa nini anafanya hivo, huenda mzee umemzidi sana maumbile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…