heshima nicholaus
Member
- Dec 26, 2011
- 16
- 3
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?
Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
hahahahah mkwe hapo kwenye blue
Hheheheheh, mkwe najaribu kusave hii relationship. . . waliotendwa wamezidi mtaani.
Very tru..idadi ni kubwa mno,wengine wanakimbilia JF kupunguza machungu..#Kiwanja hiki ni 'stress free'..
"Stress free"????
We wasema. . . . . .!
nina mpenzi wangu nampenda sana na naamini naye anipenda sana ila siku za hivi karibuni ameanza kuwa na tabia ya kuchat sana na mwanaume mmoja nikimuuliza anadai ni rafiki lakini mimi nakuta meseji wakiita honey,mumy,mpenzi na zaidi huwa mkali sana napotaja jina la huyo jamaa na hataki kabisa kuongelea juu huyo,mbaya zaidi kwa siku anaweza kuanzia asubuhi akiamka anamcheck huyo jamaa na kuanza kuchat pasipo mimi kunijulia hali,na mara kwa mara nishakuta sms za promise,JE KWELI HUYU NI MUAMINFU KWANGU AMA ANIDANGANYA
Hheheheheh, mkwe najaribu kusave hii relationship. . . waliotendwa wamezidi mtaani.
Huyo mpenzi wako ni mkeo?
Kama si mkeo wewe ulimpataje wengine washindwe?
Unanchekesha!
kuna mambo!
Eeeeeh!....kama mtu anapata stress zilizotokana na JF naamini kajitakia mwenyewe...au bahati mbaya,mawazo aliyochangia hayajalandana na wana JF wengine...so mabishano ya hapa na pale which is kawaida... Personally,na-enjoy kuwepo humu ndani..
huna haja ya kujishauri toka nduki na pia usimtusi wala kumpiga we nenda na zako utalia siku ya kwanza na ya pili ila ya tatu unazoea..
kwani demu yupo pekee yake Alaaa!..