mpenzi wangu ananidanganya

Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?

Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.

taratibu jaman
 



Jichunguze/ jitathimini kama unatimiza wajibu wako kwake ndipo utoemaamuzi sahihi, kwa mfano yawezekana moja kati ya mambo apendayo ni kupigastori au kuchart halafu wewe ni kauzu sura mbuzi utawezaje kuwin her love,
au labda alikua nae huyo kabla yako?
Chukua mda japo kidogo kutafu sababu za yeye kubehave ivo.
Then ndo uamue!
 
Yan kusoma hujui,hata kuangalia picha hujui mkuu?
 
Ukiona "mpenzi wako" anaapertiziwa na men mwingine na ww upo hiyo ni signal hutoshi kwake kimapenzi .call it end ,na umaanishe,kuna vianamke vingine vinawashwa ukivipenda sana unaonekana zoba, you know ukidemand to much love hupati.
 
sasa Mkuu wewe umeshuhudia kwa macho yako hizo sms, na umeona mabadiliko ya mpenzi wako halafu unauliza ?
hebu zungumza na mwenzio, akupe msimamo wake tena uwe serious mwambie achague wewe au huyo jamaa...
heri nusu shari kuliko shari kamili mkuu....
 
anakuona wewe hutaki kumuoa ndo maana anatafuta PLAN B; inakuwaje unaishi na huyo mwanamke bila kufunga naye ndoa (maneno yaliyo katika red yanadhiirisha mnaishi wote).
 
umeoa au unaishi nae tu au ndoa mpaka mungu apende? mtafutie muda tengeneza mazingira angalau ya siku 2 usimpe mastress yoyote, mtoe out then muulize anza kiutaniutani na kadri muda unavyozidi uwe unakomaa na maswali magumu
 
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?

Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.

acha kumdanganya mwenzako...
 
Sijui kwa nini unahaingaika kuulizia ulizia huku wakati jibu unalo tayari. Jikaze kiume, mwambie kinachokukera na kuwa tayari kwa lolote kama atakujibu hovyo. Wakati mwingine ukimwambia anaweza kukuelewa, huenda pia kosa ni lako humpi mambo vizuri ndiyo maana anatafuta njia ya kukuonyesha kuwa haridhiki nawewe. Fanya mambo makubwa huku ukimuonya akiendelea na hiyo tabia basi uko tayari kwa lolote. Pungumza ubusy hadi ndani wakati uko naye!
 
Yani kuona umeona mwenyewe alafu sisi ndio tukuambie kama unadanganywa?

Naaah, hakudanganyi bana.We huyo ni mshkaji wake tu wanachangamshana.Ignore hizo text muendelee na mapenzi yenu kama kawaida.
Mh Hapana aisee hapo jamaa anasaidiwa jamani ila ndo hajui kusoma alama za nyakati.....au hadi awakute wanachakachuana ndo atajua katemwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…