mpenzi wangu ananidanganya

umeharakisha kwa kumwambia "ignore" hizo sms, kimsingi inabidi azitilie maanani na afanye analysis kwanza ndo acome na uamuzi sahihi.
Inabidi baadhi ya post zangu niwe nazipa kichwa SARCASM!!
 
Anakuona mjinga huyo na ni dharau yeye kukufanyia hayo na upo hapo live na anakudanganya. Labda unampa pesa sana ndio maana bado yupo nawe labda hakuja kwako kimapenzi bali kwa unayompa.

Sasa inategemea nyumba mnapanga nani kaandikisha jina etc au wewe jifanye hamfuatilii

Ila magonjwa nayo duh bora umuulize umwammbie unamuacha sababu ana cheat na subiri majibu yake utajua


Asije akakuua na labda ana zaidi ya huyo wa mbali je anaonana nao akiwa mitaani?
 

ni mwaminifu kabisa!
 
Pole sn,vunja ukimwa ongea nae,toa dukuduku lako bila kuogopa matokeo,km vp kila mtu achukue time,mapnz ya kupeana strec yameshapitwa na wakati,km kakuchoka c aseme tu kuliko dharau anayokufanyia!
 
 

Huu ni uuaji.
 
Badilika na wewe chagua mmoja wa kuchat nae hata kama msela ila msave jina la mwanamke kisha check response yake kama ni Zero jua mapenzi yameshahama(yaani HUPENDWI) sasa waweza baki au kimbia.
 
could be a combination of factors, but what is clear ni kwamba you no longer bring out the butterflies in her coz ushapoteza mvuto kama mwanaume..; it is not the end of the world though, so bora uchape lapa mapema
 
Poleni sana..inaonekana idadi yenu ni kubwa sana. Mpenzi yamekuwa usani tuu. wizi mtupu!
Very tru..idadi ni kubwa mno,wengine wanakimbilia JF kupunguza machungu..#Kiwanja hiki ni 'stress free'..
 
kusomahujui hata picha tu,HIVI HILI NALO USHURI HADI UJE JF??????????????????????
 
Sasa hizo honey honey, mummy mummy na mpenzi zote ni chat chat tu?

Una moyo kweli kijana ila tahadhari na ukimwi maana hapo kuna kitu sharing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…